Mchezaji maarufu duniani wa mchezo wa Tenisi Andy Murray ameyaaga mashindano ya US Open baada ya kuchapwa na Kevin Anderson wa Afrika ya kusini.
Katika upande wa wanawake mwingereza mwingine Johanna Konta akapokea kichapo cha 7-5 6-3 kutoka kwa Petra Kvitova wa Czech.
Sasa Kelvin Anderson anatakutana na Wawrinka ambaye amempiga mmarekani Donald Young.
Post a Comment