T.F.F YAJIBU MAOMBI YA KAMATI YA WAZEE YANGA RASMI SASA UCHAGUZI KUFANYIKA JUNI 25,2016
Inbox
| x |
|
3:10 PM (1 hour ago)
|
|
Kamati hiyo imechukua uamuzi huo kwa kuangalia maslahi ya Taifa ukizingatia Yanga inakabiliwa na michuano ya Kimataifa.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa mashindano
Aloyce Komba amesema kwamba, sekretarieti ya Yanga ambayo ingetakiwa
kufanya kazi kwa pamoja na kamati ya uchaguzi kwa kushirikiana na TFF
kwa sasa inashughulikia kuiandaa timu kwa ajili ya michuano ya
Kimataifa.
'Kwa mujibu ya kamati yetu,
tumekaa na kujadili na kutoa uamuzi huo wa kusogeza uchaguzi mbele ya
siku zipatazo 20 kutoka juni 5,2016 hadi juni 25,2016 ili leo na kesho
Yanga wanatolewa katika mashindano wakatutupia lawa kamati ya uchaguzi
na kupata visingizio kwamba kamati imechangia matokeo mabovu,
tumezingatia kanuni na sheria tukizingatia mashindano haya yana maslahi
kwa Taifa letuna kwa michezo kwa ujumla', alisema Aloyce Komba.
Yanga inatarajiwa kuchezaxna Esperanca ya Angola katika michuano
ya kombe la shirikisho BaraniAfrika mei 7, mwaka huu kabla ya kurudiana
kati ya mei 17 na 18 mwaka huu huko nchini Angola.
Post a Comment