LEICER CITY YAANZA TETESI ZA USAJILI
Inbox
| x |
|
May 4 (2 days ago)
|
|
Guus Hiddink
anaeinoa Chelsea kwa muda inasemekana tayari uongozi wa Leicer city
inafukuzia saini ya kocha huyo na kumtema kocha wao aliyowapa ubingwa
Claudio Ranieri na badala yake Hiddink kurithi mikoba hiyo tayari
kuinoa timu hiyo.
Hatahivyo, Guus
Hiddink hakutaka kuliweka wazi swala hilo na badala yake alisema bado
mapema mno kulizungumzia hilo na kusema hajapokea ofa ya aina yoyote
kutoka kwa mabingwa hao wa London na pia ligi bado kumalizika, pia
anahitaji muda wa kupumzika baada ya ligi kumalizika na hawezi
kuzungumza lolote kwa sasa.
Licha ya
kuwa mabingwa wapya, uongozi wa leicer city umesema kwamba katika
usajili wao watakao ufanya hawatahitaji masupa staa wakiamini wachezaji
walionao watawasaidia sana kaika michuano mbalimbali ikiwemo ya klabu
bingwa ulaya nakuwafanya waweze kutetea ubingwa wao mwakani.
Manchester United nayo ipo mbioni kuwania saini ya mshambuliaji
wa Atletico Madrid ambaye ni raia wa Ufaransa kwa uero 80mil.
Lazio nayo imeonekana ikiwania saini ya straika wa Kifaransa Loic
Remy anaye kipiga klabu ya matajiri wa London Chelsea, zoezi hilo
linaonekana kuwa gumu huku mabingwa wapya wa jijini London Leicer city
nao wakionekana kuinyemelea saini ya straika huyo wa kifaransa.
Post a Comment